Ajuza
mmoja wa miaka 70 amemshangaza mtoto wake wa kiume na majirani wake
kwa kutongoza kichuna wa kijana wake, na kuvalia mavazi ya kisasa ya
kijana na kuongea kwa lugha ya Sheng akisema ''Yo Yo mresh si uko juu
manze utamanga nini kuku chipo ama''
Mzee
huyo aliyekuwa amevalia Jeans na kusag na tishati kubwa alifaulu
kumwingiza kidosho huyo kwenye box
No comments:
Post a Comment