Pages

Tuesday, 10 April 2012

VITUKO



Nusura harusi ikatizwe wakati Bi Harusi alipokiri kwamba alikuwa na mpango wa kando. Kulingana na walioshuhudia, mwanadada huyu alieleza kwamba atampenda mumewe hata ingawa anao mpango wa kando...!

No comments:

Post a Comment