Pages

Wednesday, 11 April 2012

VITUKO



Mwanamke mmoja afungwa miaka 10 gerezani kwa kumpa mtoto wake pombe aina ya vodka. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 5 alipatikana hajielewi na babake.Alipomuuliza mamake pia alikuwa amelewa chakari.  

No comments:

Post a Comment