Huku wanawake wakisherehekea siku
yao Duniani mwanamke mmoja Nchini Zimbabwe amewashangaza watu kwa
kutaka kufunga ndoa na kumuowa mwanawe mwenye umri wa miaka 24.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka
42 alisema kwamba wakati bwanake aliaga miaka 6 iliyopita hakuna mtu
yeyote alimsaidia kumsomesha mwanawe na sasa hataki msichana yeyote
kumkaribia mwanawe eti kwa sababu ana kazi. Kuongeza maji kwenye Unga
mwanamke huyo amesema tayari ni mja mzito na miezi sita na mwanawe.
Mwanamke huyo alisema ndugu za
marehemu bwanake walionyesha hari ya kumrithi lakini yeye hataki
anataka mwanawe, basi mwanawe pia amekubali atamuowa mamake.
No comments:
Post a Comment