VITUKO
Abiria
na wananchi waliozidi elfu 50 wake kwa waume wa nchi fulani hapa
Afrika walinunua baskeli kila mmoja na kuendesha baskeli zao wakiwa
uchi wa mnyama kisa na maana ni kuwa waendeshaji magari wamekuwa
hawajali na ajali za barabara zilizidi. Waendeshaji baskeli hao
walijiandika kwenye mwili wao wakisema huu ni mwili wangu.
No comments:
Post a Comment