Refferre
mmoja ambaye aliangusha kaptula yake wakati wa mechi ya wanawake ya
raga amesimamishwa kazi kwa muda wa wiki 18.
Msimamizi wa chama cha raga cha wanawake alisema reffa huyo aliyetoa kaptula yake kimakusudi atachukuliwa hatua nyingine baada ya hiyo. Wachezaji nao walisema walishtuka na walioona ndio maana walipoteza mchezo

No comments:
Post a Comment