VITUKO
Baada
ya siku ya Valentine mwanamme mmoja amewashangaza watu kwa kuwa
mwanamme wa peke na mzee kabisa kwa kumuowa msichana kipenzi chake
cha roho aliyemwacha na umri wa miaka 22. Mzee huyo ambaye ana miaka
96 alifunga ndoa na mpenziye nyumbani kwake baada ya kuchumbiana kwa
miaka 22.
No comments:
Post a Comment