Yaya
amshambulia mwajiri wake kwa makonde na makofi, kwa sababu alipewa
Uji anywe huku mwajiri na wanawe wakinywa Chai kwa Vitafuno. Kutokana
na Yaya alisema afadhali aiishi njaa kuliko kunywa Uji ilhali anaishi
mjini. Baada ya mwajiri wake kwenda kazini alikunywa Chai ya Mtoto na
kujipikia chapati kumi na kuzila moja kwa moja.
No comments:
Post a Comment